Kwa Nini Maombi Yanachelewa Kujibiwa: Ukubwa/Uzito wa Jibu – III

Posti hii ni sehemu ya tisa na ya mwisho ya mfululizo wa Sababu za Kuchelewa Kujibiwa kwa Maombi. Kabla haujaendelea ni muhimu kupitia utangulizi, na sehemu zilizotangulia: Ubinafsi Majivuno Shetani Muda wa Mungu Muda wa Mungu – II Ukubwa/Uzito wa Jibu Ukubwa/Uzito wa Jibu – II 8. UKUBWA/UZITO WA JIBU – III Lazaro (Yoh 11:1-45) Unapoanza […]

Kwa Nini Maombi Yanachelewa Kujibiwa: Ukubwa/Uzito wa Jibu

Posti hii ni sehemu ya saba ya mfululizo wa Sababu za Kuchelewa Kujibiwa kwa Maombi. Kabla haujaendelea ni muhimu kupitia utangulizi, na sehemu zilizotangulia: Ubinafsi Majivuno Shetani Muda wa Mungu Muda wa Mungu – II 6. UKUBWA/UZITO WA JIBU Mara nyingine kile tunachoomba huwa ni duni sana ukilinganisha na kile Mungu alichokusudia kutupatia. Matokeo yake hata […]

Kwa Nini Maombi Yanachelewa Kujibiwa: Muda wa Mungu

Posti hii ni sehemu ya tano ya mfululizo wa Sababu za Kuchelewa Kujibiwa kwa Maombi. Kabla haujaendelea ni muhimu kupitia utangulizi, na sehemu zilizotangulia: Ubinafsi Majivuno Shetani 4. MUDA WA MUNGU Yohana katika waraka wake wa kwanza anatufundisha kwamba tukiomba chochote sawasawa na mapenzi ya Mungu tuna uhakika kwamba atusikia, na uhakika huo unatupa uhakika mkubwa […]

Kwa Nini Maombi Yanachelewa Kujibiwa: Shetani

Posti hii ni sehemu ya nne ya mfululizo wa Sababu za Kuchelewa Kujibiwa kwa Maombi. Kabla haujaendelea ni muhimu kupitia utangulizi, na sehemu zilizotangulia: Ubinafsi Majivuno 3. SHETANI Sababu ya tatu ya kuchelewa kupokea majibu ya maombi ni shetani. Wakati mwingine shetani huchelewesha majibu ya maombi yetu akitumia mamlaka aliyonayo juu ya eneo tulilopo ama tunaloliombea, […]

Kwa Nini Maombi Yanachelewa Kujibiwa: Majivuno

Posti hii ni sehemu ya tatu ya mfululizo wa Sababu za Kuchelewa Kujibiwa kwa Maombi. Kabla haujaendelea ni muhimu kupitia utangulizi, na sehemu zilizotangulia: Ubinafsi 2. MAJIVUNO Huu ni mtazamo unaosema “MIMI NI BORA KULIKO HUYU/YULE”. Mtu mwenye majivuno hawezi kunyenyekea ama kujishusha kwa sababu anaamini yeye ni bora kuliko wengine. Kama sababu ya kwanza (Ubinafsi) […]